iqna

IQNA

fikra za kiislamu
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu inakujakwa njia mbalimbali na utajiri ni njia mojawapo ya kuwatahini wanadamu. Kuna mapendekezo mengi katika Qur’ani Tukufu na maandishi mengine ya Kiislamu kuhusu jinsi ya kupata na kutumia mali.
Habari ID: 3476146    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu ameahidi katika Sura Baqarah kuwapa ujira mara mbili wale wanaoshika mikono ya masikini.
Habari ID: 3476079    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kiumbe ambaye hajazaliwa ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Kwa kurejelea hoja kadhaa za Qur'ani, haturuhusiwi kutoa mimba kwa vyovyote vile. Pamoja na hayo, utoaji mimba huwa kitendo kibaya baada ya mimba kupata roho.
Habari ID: 3476070    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Surah Al-Maarij, sura ya 70 ya Qur’ani Tukufu, inazungumzia sifa nzuri na mbaya za watu na pia inatanguliza maelekezo ya kufikia hadhi ya Malaika na kuwa na usuhuba au urafiki na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476049    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/07

Fikra za Kiislamu
Tehran (IQNA) - Manadamu anahitaji kujua njia ya haki na kuwa na kuwa na mlingano katika chochote anachotaka kufanya. Njia muhimu zaidi ambayo mwanadamu anapaswa kufuata ni ile inayomuelekeza katika wokovu.
Habari ID: 3476041    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mtume Muhammad (SAW) anasema kwamba Qur'ani Tukufu ni amana ambayo aliiacha katika Umma wa Kiislamu. Tunapaswa kutunza amana hii. Hatahivyo utunzaji wa amana hii haumaanishi tu kuiweka mahala bora zaidi ndani ya nyumba lakini muhimu zaidi, kutekeleza miongozo yake.
Habari ID: 3476034    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika khutba ya 140 ya Nahjul Balagha, Imam Ali (AS) anasisitiza kwamba kusengenya sio sahihi katika mfumo wowote maadili na anapendekeza watu wawatendee wenye dhambi kwa huruma.
Habari ID: 3476016    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kila mtu anapata fursa kujua baadhi ya watu wanaoishi karibu naye na kuwakubali kama majirani. Ingawa watu hawa hawana uwepo wowote katika maisha yetu ya kibinafsi, wana haki fulani ambazo dini inaona ni muhimu kuwaheshimu.
Habari ID: 3476007    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/30

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna kategoria tofauti za wanadamu katika jamii. Wakati mwingine, utu na tabia ya binadamu ni lengo kuu, na wakati mwingine hali yao ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, Uislamu unatilia maanani suala maalum kuhusu wanadamu.
Habari ID: 3476002    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Tabia yoyote inayokiuka amri za Mwenyezi Mungu inachukuliwa kuwa dhambi. Kuna aina mbili za dhambi: ndogo na kubwa.
Habari ID: 3475914    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa misingi ya mafundisho ya Kiislamu, ni matendo tu ambayo yanamweka mwanadamu kwenye njia ya uongofu ndiyo yatakayokubaliwa na Mwenyezi Mungu; na kwa hivyo amali njema huambatana na imani na nia njema.
Habari ID: 3475908    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kila mwanadamu ana malengo matukufu maishani na anajitahidi kuyafikia kwa kutumia uwezo wake wote. Walakini, kuna nyakati maishani ambapo mtu anapendelea kutoa sehemu kubwa ya uwezo wake kwa wengine, na hii inajulikana kama kujitolea.
Habari ID: 3475900    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Wakati mwingine watu hawaamini wanachokiona bali wanajaribu kupata elimu na imani inayohitajika ili kupata uhakika wa kile walichokiona.
Habari ID: 3475899    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Aya ya 21 ya Surah Al-Kahf inabainisha kwamba kujenga msikiti katika makaburi ya watu watukufu na mawalii wa Mwenyezi Mungu sio tu inajuzu bali pia ni jambo ambalo inapendekezwa (Mustahabb).
Habari ID: 3475871    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kuna msisitizo mkubwa ndani ya Qur’an Tukufu juu ya kufikiri na kutafakari kwa sababu kutafakari kunasaidia kumzuia mtu asipotee na kutafuta njia iliyo sawa.
Habari ID: 3475866    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika imani ya Kiislamu, Barzakh ni jukwaa baina ya dunia na akhera ambalo linatutayarisha kutoka kwenye hatua ya dunia hii tuliyopo hadi dunia ijayo.
Habari ID: 3475865    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Wakati wa uhai wake na katika safari yake hapa duniani, mwanadamu hukabiliana na matatizo na dhiki mbalimbali.
Habari ID: 3475861    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/30

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Ikhlasi, ni neno linalomaanisha usafi au usafishaji, ni sifa inayokamilisha kila tendo cha watu binafsi na kufikia Ikhlasi kunahitaji kujiboresha.
Habari ID: 3475856    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Uislamu unasisitiza juu ya mwingiliano mzuri wa kiuchumi, ukisisitiza kwamba mtu anapaswa kujitahidi kupata pesa kwa nj ambazo ni ‘Halal’ au kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3475830    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwanadamu kiuhalisia hufuata ukweli. Anataka kusikia, kuona na kusema ukweli, lakini wakati mwingine husahau asili yake na kwa kusema uwongo o na hivyhuacha ukweli.
Habari ID: 3475823    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22